Thursday 6 August 2015

SIASA TANZANIA.

Kumekuwa na stori nyingi ambazo zimeandikwa sana Magazetini kuhusu Umoja wa Vyama vya UKAWA, baada ya Mbunge wa Monduli kukaribishwa CHADEMA na UKAWA stori nyingine zikaanza kuchukua headlines kuhusu baadhi ya Viongozi waliopo Vyama vya UKAWA.
August 06 2015 nimeipata taarifa rasmi kutoka kwenye Kikao ambacho Prof. Lipumbaamekifanya Dar, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti wa Chama hicho.

No comments:

Post a Comment