Saturday 11 July 2015

WANANCHI WACHOMA KITUO CHA POLISI BUNJU A, DAE ES SALAAM.












Wananchi wa Kituo cha Bunju A Dar es Salaam wamechoma kituo cha polisi moto na kufunga barabara baada ya mwanafunzi kugongwa na Gari katika Eneo hilo.

MAELEZO YA WATU. IKO HIVI JAMAN wanafunz walikua wameziba njia wanaitaji yaekwe matuta kwenye barabara na sehemu ya kuvukia yaan punda milia sasa huyo jamaa kajifanya nunda kukatiza tena kulenga wanafunz na wanafunz wako kama ukawa hawajapisha wanataka haki yao jamaa akagonga na hapo pemben kipokituo cha polis hawaja chukua hatua yeyote we unategeema wananch wafanyaje.

No comments:

Post a Comment