Friday 6 May 2016

HABARI: TANZANIA.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Mji wa Singida, wakati aliposimama kwa muda akiwa njiani kuelekea Jijini Arusha kwa njia ya barabara akitokea Mkoani Dodoma, leo.

No comments:

Post a Comment